ili kuweza kuroot inakubidi kupata kupata rooting software ambayo unaweza kuitumia kwa zoezi hili. Unaweza root kwa smartphone yako kwa kutumia hiyo software au ukaroot kwa pc waweza pakua rooting software kwa apk ili uweze root kwa simu yako
Hizi ndo software unazoweza kuzitumia ..............
.kingroot bonyeza hapa
.Root Genius bonyeza hapa
.Root Cheker bonyeza hapa
.Supersu bonyeza hapa
.Framaroot bonyeza hapa
kuna rooting software nyingi ila hizo ni baadhi ambazo zitakusaidia
kwa matokeo bora zaiidi kumbuka si kila root software itakuwa na uwezo wa kuroot kifaa chako
Tuesday, 29 September 2015
Home »
» ZIFAHAMU SOFTWARE AMBAZO ZITAKUWEZESHA KU ROOT SMARTPHONE YAKO
0 comments:
Post a Comment