Sunday 2 July 2017

Monday 23 May 2016

Fahamu namna ya kutumia whatsapp account mbli katika simu yako




Je umesha wahi kutamani kutumia social network account  zaidi ya moja katika smartphone yako ...!!!! . Sasa unaweza kuwa na account zaidi ya moja ,waweza kuwa na social network account mbili,kama vile whatsapp, facebook,twitter,Instagram,snapchat , katika simu yako moja  na kuzitumia kwa wakati mmoja kwa kutumia
'Parrallel space app'  app hii itakuwezesha kutimiza lengo lako


Waweza kuidownload Parrellel space app hii bonyeza hapa      ukisha download hii utaweza kuadd any social network account unayo hitaji pia waweza kuadd online game account zaidi ya moja


Share:

Tuesday 12 January 2016

JINSI YA KUANGALIA SIMU KAMA NI FEKI

Makala hii itakuonesha jinsi ya kuangalia kama simu yako ni feki ama la. Zifuatazo ni hatua unazoweza kuzitumia kuangalia kama simu yako ni feki, hakuna mahitaji makubwa kufanya hili ila tu unahitaji simu yako unayoitumia na unayotaka kuiangalia. Jinsi ya angalia IMEI namba Andika *#06# kisha bonyeza kitufe cha kupiga Baada ya hapo simu yako itakuletea IMEI namba ambapo kama simu yako au kifaa chako kina laini mbili basi kutakuwa na IMEI namba mbili Namba hii pia unaweza kuipata katika boksi la simu ama nyuma ya ya simu hiyo baada ya kutoa betri, utaijua kwa kuwa huwa ni tarakimu 15. Nakili namba hizo pembeni. Jinsi ya kuangalia kifaa kama ni feki ama halali Iandike ile namba uliyo nakili katika hatua iliyopita katika sehemu ya kuandikia ujumbe (SMS) Utume ujumbe huo kwenda namba 15090 Baada ya kutuma meseji hiyo utaangaliziwa je hiyo IMEI namba ni ya simu ya aina gani na nani mtengenezaji wa simu hiyo. Subiri majibu (haitachukua muda mrefu) Ujumbe huo ukija unakuwa na maelezo ya kampuni iliyotengeneza simu hiyo pamoja na jina la simu hiyo. jinsi ya kuaangalia simu kama feki Mfano wa ujumbe unarudishwa baada ya kutuma IMEI namba Jinsi ya kujua kama simu yako ni feki Kama jina la mtengenezaji wa simu yako pamoja na aina ya simu yako (Uliyo jibiwa baada ya kutuma IMEI namba) haviendani na majina ya simu yako (ambayo yameandikwa katika simu yako) basi ujue simu yako inamashaka na ni vyema kumuuliza muuzaji wako juu ya hilo. Kama majina yaliyorudi hayaendani na majina yaliyoandikwa katika simu yako basi upo katika kundi lenye uwezekano wa kuwa na matatizo, TUNAKUSHAURI ufuate utaratibu na kuibadilisha ama kuacha kuitumia simu hiyo kabla ya mwezi Juni. Kwanini TCRA wanataka tubadilishe simu Simu isiyo na IMEI ni sawa na gari lisilo na namba za usajili {plate number} Vyombo vya usalama vinaweza kukamata wahalifu wa kutumia mitandao ya simu kwa msaada wa IMEI namba hivyo mtu akiwa anatumia simu ambayo haina au ina IMEI namba ambayo sio sahihi anazuia utendaji kazi wa taasisi za usalama hivyo wao kama mamlaka wanatakiwa kuhakikisha kila mtu anatumia simu yenye IMEI namba sahihi.
Share:

Saturday 9 January 2016

Ifahamu simu janja yenye uwezo wa kukaa na chaji zaidi ya siku kumi

Simu janja yenye uwezo wa kukaa na chaji kwa zaidi ya siku 10? Haraka haraka jambo hili linaonekana bado ni ndoto ila tayari kuna kampuni ambayo imedai imefanikisha jambo hili na simu zake zitaanza kupatikana mapema mwezi wa kwanza, 2016. Simu janja hiyo inakuja na betri lenye kiwango kikubwa cha uhifadhi chaji wa mAh 10,000 italetwa na kampuni iitwayo Oukitel. Wenyewe wanasema kwa matumizi ya ‘kawaida’ wanategemea simu hiyo iweze kukaa na chaji kwa zaidi ya siku 10, wanasema kutegemea na utumiaji inaweza fikisha hadi siku 15. Oukitel K10000Oukitel K10000 Kampuni hiyo tayari miezi kadhaa nyuma ilishawahi kutoa simu janja yenye kiwango kikubwa cha uhifadhi chaji wa mAh 6000. Simu hii ya kiwango cha chaji cha mAh 10,000 itachukua jina la Oukitel K10000 na inakuja ikitumia toleo la Android 5,1 Lollipop. Kupitia simu hiyo utaweza pia kuitumia kama vile ‘powerbank’ ili kuweza kuchaji simu yako nyingine ya ziada. :-) Sifa zinginezo za Oukitel K10000 Kioo (display) ya Inchi 5.5 HD (720X1280) Prosesa – 1GHz quad-core MediaTek MT6735 RAM GB 2 Diski Uhifadhi (Storage) – GB 16 na uwezo wa kutumia kadi ya microSD Kamera ya mbele ya MegaPixel 8 na ya selfi MegaPixel 2 Kamera ya mbele inakuja na teknolojia za HDR, kutambua sura (face detection), uwezo wa kupiga picha za panorama n.k Kimawasiliano inakuja na teknolojia za GPRS/EDGE na 3G, pia Bluetooth na WiFi. Kwa sasa simu hiyo ishaanza kuuzwa kupitia mtandao wa GearBest kwa takribani dola 240 za Marekani, wanaolipia kwa sasa wataanza kuipata simu hiyo mwezi wa kwanza ambapo ndio pia itaanza kupatikana katika nchi zingine.
Share:

Monday 19 October 2015

ZIFAHAMU MONITORS NA DISPLAYS 10 BORA KWA SASA


LG UltraWide 34UC97

1. LG UltraWide 34UC97


Screen size: 34-inch | Aspect ratio: 21:9 | Resolution: 3440x1440 | Brightness: 300 cd/m2 | Response time: 5ms | Viewing angle: 178/178 | Contrast ratio: 1M:1 (DFC) | Colour support: SRGB 99% | Weight: 19.8 pounds

Best monitor

2. Acer S277HK


Screen size: 27-inch | Aspect ratio: 16:9 | Resolution: 3840 x 2160 | Brightness: 300 cd/m2 | Response time: 4ms | Viewing angle: 178/178 | Contrast ratio: 100,000,000:1 | Colour support: SRGB 100% | Weight: 11.9 pounds

ViewSonic VP2772

3. Viewsonic VP2772


Screen size: 27-inch | Aspect ratio: 16:9 | Resolution: 2560 x 1440 | Brightness: 350 cd/m2 | Response time: 12ms | Viewing angle: 178/178 | Contrast ratio: 1000:1 | Colour support: SRGB 100% | Weight: 18.8 pounds

Dell Ultrasharp UP2414Q

4. Dell UltraSharp UP2414Q


Screen size: 24-inch | Aspect ratio: 16:9 | Resolution: 3840 x 2160 | Brightness: 350 cd/m2 | Response time: 8ms | Viewing angle: 178/178 | Contrast ratio: 1000:1 | Colour support: SRGB 100%; Adobe RGB 99% | Weight: 10.58 pounds

LG 34UM95

5. LG 34UM95


Screen size: 34-inch | Aspect ratio: 21:9 | Resolution: 3440x1440 | Brightness: 320 cd/m2 | Response time: 5ms | Viewing angle: 178/178 | Contrast ratio: 1000:1 | Colour support: SRGB 99% | Weight: 17 pounds


BenQ BL2710PT

6. BenQ BL2710PT


Screen size: 27-inch | Aspect ratio: 16:9 | Resolution: 3440x1440 | Brightness: 350 cd/m2 | Response time: 12ms | Viewing angle: 178/178 | Contrast ratio: 1000:1 | Colour support: SRGB 99% | Weight: 23.8 pounds

Acer B276HUL

7. Acer B326HUL


Screen size: 32-inch | Aspect ratio: 16:9 | Resolution: 2560 x 1440 | Brightness: 300 cd/m2 | Response time: 6ms | Viewing angle: 178/178 | Contrast ratio: 100,000,000:1 | Colour support: SRGB 100% | Weight: 15.35 pounds

Samsung UD590

8. Samsung UD590


Screen size: 28-inch | Aspect ratio: 16:9 | Resolution: 3840 x 2160 | Brightness: 370 cd/m2 | Response time: 1ms | Viewing angle: 170/160 | Contrast ratio: 1000:1 | Colour support: SRGB 100% | Weight: 12.43 pounds

Samsung UD970

9. Samsung UD970


Screen size: 31.5-inch | Aspect ratio: 16:9 | Resolution: 3840 x 2160 | Brightness: 280 cd/m2 | Response time: 8ms | Viewing angle: 178/178 | Contrast ratio: 1000:1 | Colour support: SRGB 100% | Weight: 30.14 pounds

Asus PB287

10. Asus PB287Q


Screen size: 28-inch | Aspect ratio: 16:9 | Resolution: 3840 x 2160 | Brightness: 300 cd/m2 | Response time: 1ms | Viewing angle: 170/160 | Contrast ratio: 100,000,000:1 | Colour support: SRGB 87% | Weight: 21.1 pounds
Share:

Saturday 17 October 2015

LEO KATIKA TEKNOLOJIA ZIFAHAMU APPS ZILIZOINGIA KATIKA APPSAFRICAN INNOVATION AWARDS 2015


1. Best disruptive innovation
MicroEnsure (UK),  Esoko (Ghana), Talking Bookz (Nigeria)Picup – South AfricaOpera’s Sponsored Web Pass – Nigeria
2. Best mobile innovation
Mobu – (Kenya), Chura – (Kenya), bookly – (South Africa), Ninayo – (Tanzania)M-vendr – (UK), ShoOwer – Cameroon
3. Best non data mobile innovation 
TTC Mobile – (Uganda and Tanzania), Unotify (Rwanda), Totohealth (Kenya), GeoPoll (US and Kenya)SaferMom (Nigeria)
4. Best African app
Cross Dakar City (Senegal)bookly – (South Africa), Truppr (Nigeria), mPaper (Tanzania) and Tuluntulu (South Africa)
5. Best fintech innovation
Mergims (Rwanda)LipaPlus (Kenya) , SimbaPay (UK) ,VCpay (South Africa) , Mastercard/ Standard Bank MasterPass app (South Africa) and  Verifone Mobile Money (Kenya)
6. Best health innovation
MOBicure (Nigeria)GiftedMom (Cameroon)Telemedicine Africa (South Africa)emocha Mobile Health (USA) and The Medical Concierge Group (Uganda)
7. Best educational innovation
mPaper (Tanzania)Flippy Campus (Ghana/Nigeria)bookly – (South Africa), SYNA (Nigeria) , Xander Apps (South Africa) and Bambisa (South Africa)
8. Social impact award
codeX (South Africa)bookly – (South Africa), 1task1job (Cameroon), UjuziKilimo (Kenya),  and Afrikstart (UK).
9. Best entertainment innovation
Bozza Mobile (South Africa)GAMSOLE – NigeriaMyMusic (Nigeria)Guumzo (Tanzania) and Media24 HYD 3D (South Africa)
10. Women in tech award  
Emefa Kpegba (OMobileFunding – Togo), Anike Lawal (Mamalette -Nigeria)Linet Kwamboka (DataScience – Kenya)Zimba Women (Uganda) and Kelechi Anyadiegwu (Zuvaa -USA/Nigeria)
Share:

nature beauty

Powered by Blogger.

recent posts

Total Pageviews

Search This Blog

technology

Number of Posts

featured video

Random Post Number

Slider Display

Random

The Slider

social counter

twocolumns

about us

About

Formulir Kontak

Name

Email *

Message *

Social Icons

Featured Posts

FOLLOW @ INSTAGRAM

Must read