Thursday 8 October 2015

MAMBO YA KUZINGATIA UCHAGUAPO STORAGE DEVICE KATIKA LAPTOP AU DESKTOP YAKO

Je unahitaji aina gani ya storage device kwa ajili ya pc yako katiya SSD SSHD au HDD. kuna mambo ambayo unatakiwa kuzingatia  unapochagua aina ya hizo device  kulingana na mahitaji husika hakikisha unazingatia yafuatayo.



CAPACITY
je hiyo storage device inauwezo kiasi gani wa kuhifadhi data zako HDD zina uwezo mkubwa wa kuhifadhi data zako kulingana zinapatikana katika ukubwa  mbalimbali katika gharama ya chini .unapohitaji SSD yenye uwezo mkubwa mfano 1TB hizi ni ghali sana kuweza kuzinunua unawezapata kuanzia 120GB kwa bei kidogo ambayo ipo chini.

SPEED
SSD device zina speed kubwa ukilinganisha na HDD ambayo itasidia pc yako kuwaka haraka ukilinganisha na HDD huwa zinaifanya pc yako kuchukua kama dakika moja kuwaka ila unapokuwa na SSD huchukua sekunde 15 hata zingine sekunde 5 kulingana na ukubwa wa SSD hiyo.

PRICE
SSD hizi hupatikana kwa bei ya juu sana waweza pata zenye bei ya kawaida zenye uwezo kati ya 32_64GB kwa bei ya kawaida ila zenye uwezo mkubwa ni gharama sana ila HDD waweza zipata kwa bei ya kawaida kulingana na ukubwa unaohitaji.


BATERY LIFE
SSD kulingana na performance yake ni kubwa huwa zinapunguza uwepo wa charge kati laptop yako zaidi ya asilimia kumi ukifuatiwa na SSHD hii ni kutokana huwa ina fanya kazi kwa hali ya juu sana na kuhitaji power nyingi .

DURABILITY
SSD huwa zinauwezo wa kuhimili mikiki mingi kulingana na jinsi zilivyotengenezwa  waweza idondosha lakini bado ikawa inapiga kazi vizuri tu.

FORM FACTOR
Ukilinganisha uundwaji wa hizi device SSD huwa katika umbo dogo ukilinganisha na zingine .


kwa maelezo zaidi juu ya SSD ,HDD ,na SSHD fuatilia blog hii....



Share:

0 comments:

Post a Comment

nature beauty

Powered by Blogger.

recent posts

Total Pageviews

Search This Blog

technology

Number of Posts

featured video

Random Post Number

Slider Display

Random

The Slider

social counter

twocolumns

about us

About

Formulir Kontak

Name

Email *

Message *

Social Icons

Featured Posts

FOLLOW @ INSTAGRAM

Must read