Wednesday 30 September 2015

JIFUNZE NAMNA YA KUFANYA MANUNUZI EBAY

Ebay ni sehemu ambayo wauzaji na wanunuaji  wanakutana
Muuzaji  anajiunga kwa kufungua Account ebay na kisha anatangaza kitu anachokiuza akiwa popote pale Duniani
Mnunuzi anajiunga kwa kufungua Account ebay popote alipo Duniani kisha anachagua bidhaa anayoitaka iliyotangazwa na Muuzaji(Seller) ana inunua online.




 MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUTUMIA EBAY

1. Tafuta Debit card au Credit card

Debit card ni kadi inayokuwezesha kununua vitu kwenye mtandao kwa kutumia pesa iliyo kwenye akaunti yako ya benki. Na Credit card inakuwezesha kununua kwa kukopa kwenye benki unayotumia halafu wanakukata kidogokidgo kwenye mshahara wako au namna yoyote ambayo mtakubaliana na benki. Kadi hizi ni kama Tembo card visa na Tembo card master card za CRDB Bank;

benki zingine kama NBC, Stanbic Bank na BARCLAYS Bank pia zinatoa Kadi Za namna hiyo. Baada ya kupata kadi yako unatakiwa uende kwenye benki yako wakairuhusu kuweza kufanya manunuzi kwenye mtandao.

2. Jiunge na tovuti ya Paypal.

Paypal ni tovuti inayoongoza duniani kwa kusimia malipo ya kwenye mtandao. Kazi yake kubwa ni kutunza taarifa zako muhimu za benki ili wamachinga wa kwenye mtandao wasizizoee hovyo. Hivyo basi ukitumia paypal, unasajili na kuweka namba yako ya visa au master card.

Baada ya hapo unaweza kuweka pesa kwenye account ya paypal au ukaziacha kwenye akaunti yako ya benki. Unapofanya manunuzi Yule muuzaji anapewa pesa na Paypal sio wewe moja kwa moja ili kulinda taarifa zako za benki.

3. Nunua kwenye tovuti iliyo na mfumo wa kutuma taarifa zako kwa usalama.


Kwa ajili ya usalama kuna teknologia inaitwa SSL(Secure Socket Layer). SSL inafanya kazi ya kusafirisha taarifa zako katika hali ya mkanganyiko ili mtu yoyote mhalifu asiweze kuzielewa, zikifika zianaundwa tena ili muuzaji aweze kuzielewa.

Teknologia hii inatumika pia kutuma email, blackberry wakiwa ni vinara wa kutunia teknologia hii. Ili kujua kama tovuti inatumia hii teknologia utaona alama ya kufuli kwenye anuani ya tovuti husika ikishafunguka. Angalia kwenye sehemu ya kuandikia anuani, kushoto au kulia.

4. Nunua kwa muuzaji anayekubaliwa na weteja wengi.

Utajuaje kama muuzaji anakubalika sokoni na anauzoefu wa kuuza vitu kwenye mtandao? Rahisi! Kwa mfanounataka kununua saa Ebay au kitabu cha electrniki (PDF) kwenye Amazon, chini ya hiyo bidhaa iliyoichagua utaona maoni ya watu walionunua kabla yako.

Ni vizuri ukatumia muda wa kutosha kusoma maoni ya waru wengi kabla hujaendelea za zoezi la manunuzi. Njia nyingine ya kupata maoni ya watu ni kutumia tovuti kama Yelp, Google+, Yahoo directory au Yellow pages iwapo muuazaji atakuwa amejiunga nazo.

5. Chagua namna ya kutumiwa mzigo wako.

Unatakiwa kuchagua namna kutumiwa mzigo wako ambayo itakuwa rahisi kwako kuupata. Gharama za kutuma mzigo zitaoneshwa pale kwenye mtandao na muda wa kufika kwa kila gharama. Kwa Tanzania unaweza kutumia DHL, UPS au shirika lolote unaloliamini.

6. Hakikisha muuzaji anahudumia eneo ulilopo.

Baadi ya wauzaji huchagua nchi au miji wanayoweza kutuma mizigo na wengine huuza dunia nzima. Taarifa hizi huwekwa chini ya bidhaa unayotaka kununua , hii itakusaidia kuokoa muda kuondoa usumbufu usio wa lazima.
 


   

Pia waweza tumia njia hizo kwa mitandao mengine tofauti na ebay ila zingatia:
Unaponunua kitu kwenye mtandao kwanza kabisa hakikisha hiyo tovuti inafahamika, kama haifahamiki hakikisha kuwa imethibishwa na na mashirika yakuhalalisha biashara za kwenye mtandao kama BBB (Better Business Bureau), utaona nembo ya haya mashirika chini kwenye tovuti ya muuzaji.


 kwa mungozo zaiidi na maswali bonyeza hapa

Share:

ZIFAHAMU SEHEMU ZITAKAZO KUSAIDIA KUFANYA MANUNUZI MTANDAONI(ONLINESHOPING)

Kulingana na ukuwaji wa sayansi na teknolojia imerahisisha mambo mengi katika jamii zetu na kuweza kutuletea ufanisi wa hali ya juu katika shughuli zetu za kila siku. Sasa unaweza kununua, kuuza bidhaa mbalimbali kwa kutumia mtando  kulingana na mahali ulipo.

Waweza  fanya manunuzi haya kupitia mitandao mbalimbali ambayo inatoa huduma hii ya uuzaji na ununuaji wa bidhaa na huduma mbalimbali  waweza sema ni soko huru la kimtandao. Inategemea wewe sasa unahitaji kutumia soko gani ili kuweza kupata huduma hii nitakupa muongozo wakuweza kufanya manunuzi katika soko la kimtandao la hapa nchini na kimataifa.


SOKO LAKIMTANDAO KWA NCHINI TANZANIA :Waweza tumia mitandao ifuatayo kuwapata 
          1.KAYMU .bonyeza hapa 
          2.JUMIA  bonyeza hapa

KWA SOKO LA KIMATA : Waweza tumia mitandao ifuatayo,kuwapa
            1.EBAY  bonyeza hapa
            2.ALIEXPRESS  bonyeza hapa

Hizi ni baadhi ya site tu ambazo zenye usalama katika kutoa huduma bora kwa wateja

kwa muuongozo jinsi gani ya kuitumia miatandao hii kufanya manunuzi fuatilia blog hii....
 
Share:

Tuesday 29 September 2015

LEO KATIKA TEKNOLOJIA SMARTPHONE KUUZWA KAMA NYANYA NIGERIA

Barani afrika nchi ya Nigeria iinaongoza kwa kuwa na wauzaji wengi wa smartphone katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo hii ni kutokana na ongezeko wa bidhaa hizi nchini china ambako kumpelekea kupata soko kubwa la bidhaa zo barani afrika. 


Share:

ZIFAHAMU SOFTWARE AMBAZO ZITAKUWEZESHA KU ROOT SMARTPHONE YAKO

ili kuweza kuroot inakubidi kupata kupata rooting software ambayo unaweza kuitumia kwa zoezi hili. Unaweza root kwa smartphone yako kwa kutumia hiyo software au ukaroot kwa pc waweza pakua rooting software kwa apk ili uweze root kwa simu yako
 

Hizi ndo software unazoweza kuzitumia ..............
.kingroot  bonyeza hapa
.Root Genius  bonyeza hapa
.Root Cheker  bonyeza hapa
.Supersu  bonyeza hapa
.Framaroot bonyeza hapa

kuna rooting software nyingi ila hizo ni baadhi ambazo zitakusaidia 
kwa matokeo bora zaiidi kumbuka  si kila root software itakuwa na uwezo wa  kuroot kifaa chako
Share:

FAIDA UZIPATAZO UTAKAPO ROOT SMARTPHONE YAKO

Rooting ni kitendo cha kuiwezesha smartphone yako kuwa na mamlaka ya kubadili mifumo iliyowekwa na mzalishaji mfumo wa smartphone yako au tablet yako.
 

Faida utakazopata baada ya kuroot smartphone yako
.Itakuwezesha kuwa na mamlaka kamili ya kifaaa chako kwa kuweza kubadili mifumo mbali mbali.
.utaweza kuzuia matangazo yanayokuja kutokana na kuwepo kwa apps za bure
.itakuwezesha kuondoa pre_installed apps ambazo ulizikuta uliponunua  smartphone yako
. itakupa ruhusa ya kuweza ku install baadhi ya apps zinazo hitaji simu yako kuwa rooted
. utapata uwezo wa ku install custom rom kwa kifaa chako
. pia ita itaiongezea usanifu zaiidi smartphone yako katika ufanyaji kazi na kuweza kouongeza utunzaji wa charge kw muda mrefu

 endelea kufatilia zaidi blog hii kwa mafunzo ya smartphone rooting 
Share:

Monday 28 September 2015

LEO KATIKA TEKNOLOJIA_MTANDAO WA WIKIPEDIA WAZUIRIWA NCHINI URUSI

Wasambazaji wa internet nchini urusi walazimika kuzuia tovuti ya wikipedia nchini humo kutokana  na tovuti hiyo  kumchafua Roskomnadzor bonyez hapa
dzor kwa taarifa zaiidi

Share:

MUONGOZO WA KUNUNU SMARTPHONE YENYE PROCESSOR BORA

Processor au cpu hii brain ya kifaa chako ambayo inaiwezesha kifaa chako kuweza kufanya kazi kulingana na maelezo ya software husika. Kila simu ina processor ambayo inaiwezesha kufanya kazi kwa ufanisi na haraka zaidi kulingana na uwezo wa processor husika.Ili kutambua kiasi cha ufanyaji kazi kwa haraka  processor hupimwa kwa Mhz  au Ghz ambavyo 1ghz =1000mhz .procesor ikiwa kubwa ndo ufanisi wake katika simu unakuwa mzuri zaidi.


Core hii hupatikana katika main processor ambayo kazi yake kubwa ni kusoma na kutafsiri taarifa mbalimbali kuna aina mbalimbali za core  kuna single_core dual_core pia kuna quad core ,hexa core,
octa core . octa core zina uwezo mkubwa  waufanyaji kazi kuliko zingine.

Vifaa vingi kama smartphone ,tablets , and smart watches vimetengenezwa kwa ARM processor ambo wame ziweka kimakundi processor zao katika mpangilio
        -cortex A5 ,A7 ,A9,A15 , A17, A53, A57 na  A72
ambapo A72 inauwezo kuliko A series zingine. mfano proseccor ya  1.7ghz quad core A17  inazidiwa uwezo na 1ghz dual core A53.

Je utawezaje kufahamu aina ya processor iliyopo kwenye smartphone yako ?
Waweza kuangalia specification ya simu yako online mfano samsung galaxy s6 kwa kutafuta specification zake au uka pakua app itwayo  CPU Z pia njia hizi mbili zitakusaidia kujua kama simu yako ni fake au original kwa kulinganisha specification ulizo ona kwenye app na za kwenye web

Share:

Muongozo utakao kusaidia kununua smartphone bora

Matumizi ya smartphone yamukua kwa kiasi kikubwa hapa nchini  kutokana na uwepo wa smartphone kutoka makampuni  mbalimbali . Ambavyo imepelekea kuwa na ushindani mkubwa  katika  uuzaji. wa smartphone kwa watu wengi


Je utawezaje kununua smartphone bora?
.kitu cha kwanza  ni kujua matumizi yako makubwa utakayo kuwa ukitumia katika smartphone yako hii  itakurahisishia  kuweza kununua smartphone ambayo ina kidhi mahitaji yako.
 .je unahitaji smartphone yenye uwezo mkubwa wa camera ,    
  .je unahitaji smartphone yenye uwezo wa kukaa na charge kwa muda mrefu, 
  .je unahitaji smartphone yenye processor kubwa yenye uwezo mkubwa
 .je unahitaji smartphone yenye screen kubwa au yenye muonekano wa kuvutia
 
kwa kujiuliza hayo itakusidia kupata chaguo sahihi.Basi kaa karibu  na blog hii kwa elimu zaiidI.
Share:

nature beauty

Powered by Blogger.

recent posts

Total Pageviews

Search This Blog

technology

Number of Posts

featured video

Random Post Number

Slider Display

Random

The Slider

social counter

twocolumns

about us

About

Formulir Kontak

Name

Email *

Message *

Social Icons

Featured Posts

FOLLOW @ INSTAGRAM

Must read