Kulingana na ukuwaji wa sayansi na teknolojia imerahisisha mambo mengi katika jamii zetu na kuweza kutuletea ufanisi wa hali ya juu katika shughuli zetu za kila siku. Sasa unaweza kununua, kuuza bidhaa mbalimbali kwa kutumia mtando kulingana na mahali ulipo.
Waweza fanya manunuzi haya kupitia mitandao mbalimbali ambayo inatoa huduma hii ya uuzaji na ununuaji wa bidhaa na huduma mbalimbali waweza sema ni soko huru la kimtandao. Inategemea wewe sasa unahitaji kutumia soko gani ili kuweza kupata huduma hii nitakupa muongozo wakuweza kufanya manunuzi katika soko la kimtandao la hapa nchini na kimataifa.
SOKO LAKIMTANDAO KWA NCHINI TANZANIA :Waweza tumia mitandao ifuatayo kuwapata
1.KAYMU .bonyeza hapa
2.JUMIA bonyeza hapa
KWA SOKO LA KIMATA : Waweza tumia mitandao ifuatayo,kuwapa
1.EBAY bonyeza hapa
2.ALIEXPRESS bonyeza hapa
Hizi ni baadhi ya site tu ambazo zenye usalama katika kutoa huduma bora kwa wateja
kwa muuongozo jinsi gani ya kuitumia miatandao hii kufanya manunuzi fuatilia blog hii....
Wednesday, 30 September 2015
Home »
» ZIFAHAMU SEHEMU ZITAKAZO KUSAIDIA KUFANYA MANUNUZI MTANDAONI(ONLINESHOPING)
0 comments:
Post a Comment