Animation waweza sema ni picha ambazo ziko katika mfumo unaofatataka kisha zikifuatana kwa mpangilio.(moving picture) na basic ya animation ni motion picture ambayo yaweza kuwa katika aina mbalimbali.
Kuna aina mbalimbali za mifumo ya animation kama:
1.tradition animation
2.stop animation
3.computer animation.
Tradition animation
hii ni moja kati ya mifumo ya animation iliyokuwa ikitumika tangia zamani abayo iikua inahusisha uchoraji wa picha ambazo zipo katika hali mbalimbali kisha kuweza kutengeneza illusion movement ambayo ilikua inahusisha step mbalimbali. mfumo huu iliwawezesha kutengeneza filamu za animation
kama Pinocchio , Animal Farm, The Illusionist, The Secret of Kells
mfano wa tradition animation.....
stop motion
hii ni mfumo wa animation ambao unahusisha
physical object ambazo zina move kutokana na kuwa photography frame by frame kisha kuunganisha frame hizo kupata short animatio.waweza search youtube stop animation kuona jinsi zinavyo tengenezwa.
computer animation
hii tunasema ni mfumo wa kisasa wa utengenezaji animation ambao unahusha computer software ku manipulate object mbalimbali katika mfumo wa animation
.usikose makala inayofuata kuhusiana na computer animation.........
0 comments:
Post a Comment