Computer animation hii art ihusishayo sanaa ya utengenezji wa moving image kwa kutumia computer na hii ni moja kati ya matawi ya graphics na animation.
Computer animation zipo katika mfumo wa 2D animation na 3D animation ambayo 2D animation huu ni mfumo wa zamani ukilinganisha na 3D animation kulingana na madiliko ya teknolojia ingawa 2D animation inachukua muda mchache kuweza kuhusisha image(rendering) na haitaji kifaa chako kuwa na gpu kubwa ukilinganisha na 3D animation.
Animation itumikapo kwenye films huwa tunaziita CGI (computer generated imaging) ili kuunda illusion image huwa inakuwa displayed katika computer screen then quickly replaced na image nyingine ambayo ipo katika mundelezo kulingana na image iliyopita.
kwa maelezo zaidi kuhusiana na 2d and 3d animation endelea kufuatilia blog hiii.........
0 comments:
Post a Comment