Monday, 23 May 2016
Home »
» Fahamu namna ya kutumia whatsapp account mbli katika simu yako
Fahamu namna ya kutumia whatsapp account mbli katika simu yako
Je umesha wahi kutamani kutumia social network account zaidi ya moja katika smartphone yako ...!!!! . Sasa unaweza kuwa na account zaidi ya moja ,waweza kuwa na social network account mbili,kama vile whatsapp, facebook,twitter,Instagram,snapchat , katika simu yako moja na kuzitumia kwa wakati mmoja kwa kutumia
'Parrallel space app' app hii itakuwezesha kutimiza lengo lako
Waweza kuidownload Parrellel space app hii bonyeza hapa ukisha download hii utaweza kuadd any social network account unayo hitaji pia waweza kuadd online game account zaidi ya moja
0 comments:
Post a Comment