.kitu cha kwanza ni kujua matumizi yako makubwa utakayo kuwa ukitumia katika smartphone yako hii itakurahisishia kuweza kununua smartphone ambayo ina kidhi mahitaji yako.
.je unahitaji smartphone yenye uwezo mkubwa wa camera ,
.je unahitaji smartphone yenye uwezo wa kukaa na charge kwa muda mrefu,
.je unahitaji smartphone yenye processor kubwa yenye uwezo mkubwa
.je unahitaji smartphone yenye screen kubwa au yenye muonekano wa kuvutia
kwa kujiuliza hayo itakusidia kupata chaguo sahihi.Basi kaa karibu na blog hii kwa elimu zaiidI.
0 comments:
Post a Comment