Processor au cpu hii brain ya kifaa chako ambayo inaiwezesha kifaa chako kuweza kufanya kazi kulingana na maelezo ya software husika. Kila simu ina processor ambayo inaiwezesha kufanya kazi kwa ufanisi na haraka zaidi kulingana na uwezo wa processor husika.Ili kutambua kiasi cha ufanyaji kazi kwa haraka processor hupimwa kwa Mhz au Ghz ambavyo 1ghz =1000mhz .procesor ikiwa kubwa ndo ufanisi wake katika simu unakuwa mzuri zaidi.
Core hii hupatikana katika main processor ambayo kazi yake kubwa ni kusoma na kutafsiri taarifa mbalimbali kuna aina mbalimbali za core kuna single_core dual_core pia kuna quad core ,hexa core,
octa core . octa core zina uwezo mkubwa waufanyaji kazi kuliko zingine.
Vifaa vingi kama smartphone ,tablets , and smart watches vimetengenezwa kwa ARM processor ambo wame ziweka kimakundi processor zao katika mpangilio
-cortex A5 ,A7 ,A9,A15 , A17, A53, A57 na A72
ambapo A72 inauwezo kuliko A series zingine. mfano proseccor ya 1.7ghz quad core A17 inazidiwa uwezo na 1ghz dual core A53.
Je utawezaje kufahamu aina ya processor iliyopo kwenye smartphone yako ?
Waweza kuangalia specification ya simu yako online mfano samsung galaxy s6 kwa kutafuta specification zake au uka pakua app itwayo CPU Z pia njia hizi mbili zitakusaidia kujua kama simu yako ni fake au original kwa kulinganisha specification ulizo ona kwenye app na za kwenye web
Monday, 28 September 2015
Home »
smartphones
» MUONGOZO WA KUNUNU SMARTPHONE YENYE PROCESSOR BORA
0 comments:
Post a Comment