Faida utakazopata baada ya kuroot smartphone yako
.Itakuwezesha kuwa na mamlaka kamili ya kifaaa chako kwa kuweza kubadili mifumo mbali mbali.
.utaweza kuzuia matangazo yanayokuja kutokana na kuwepo kwa apps za bure
.itakuwezesha kuondoa pre_installed apps ambazo ulizikuta uliponunua smartphone yako
. itakupa ruhusa ya kuweza ku install baadhi ya apps zinazo hitaji simu yako kuwa rooted
. utapata uwezo wa ku install custom rom kwa kifaa chako
. pia ita itaiongezea usanifu zaiidi smartphone yako katika ufanyaji kazi na kuweza kouongeza utunzaji wa charge kw muda mrefu
endelea kufatilia zaidi blog hii kwa mafunzo ya smartphone rooting
0 comments:
Post a Comment