
Ebay ni sehemu ambayo wauzaji na wanunuaji wanakutana
Muuzaji anajiunga kwa kufungua Account ebay na kisha anatangaza kitu anachokiuza akiwa popote pale Duniani
Mnunuzi anajiunga kwa kufungua Account ebay popote alipo Duniani kisha anachagua bidhaa anayoitaka iliyotangazwa...