
Je umesha wahi kutamani kutumia social network account zaidi ya moja katika smartphone yako ...!!!! . Sasa unaweza kuwa na account zaidi ya moja ,waweza kuwa na social network account mbili,kama vile whatsapp, facebook,twitter,Instagram,snapchat , katika simu yako...