...
Sunday, 2 July 2017
Monday, 23 May 2016
Fahamu namna ya kutumia whatsapp account mbli katika simu yako

Je umesha wahi kutamani kutumia social network account zaidi ya moja katika smartphone yako ...!!!! . Sasa unaweza kuwa na account zaidi ya moja ,waweza kuwa na social network account mbili,kama vile whatsapp, facebook,twitter,Instagram,snapchat , katika simu yako...
Tuesday, 12 January 2016
JINSI YA KUANGALIA SIMU KAMA NI FEKI

Makala hii itakuonesha jinsi ya kuangalia kama simu yako ni feki ama la.
Zifuatazo ni hatua unazoweza kuzitumia kuangalia kama simu yako ni feki, hakuna mahitaji makubwa kufanya hili ila tu unahitaji simu yako unayoitumia na unayotaka kuiangalia.
Jinsi ya...
Saturday, 9 January 2016
Ifahamu simu janja yenye uwezo wa kukaa na chaji zaidi ya siku kumi

Simu janja yenye uwezo wa kukaa na chaji kwa zaidi ya siku 10? Haraka haraka jambo hili linaonekana bado ni ndoto ila tayari kuna kampuni ambayo imedai imefanikisha jambo hili na simu zake zitaanza kupatikana mapema mwezi wa kwanza, 2016.
Simu janja hiyo inakuja na betri...
Monday, 19 October 2015
ZIFAHAMU MONITORS NA DISPLAYS 10 BORA KWA SASA

1. LG UltraWide 34UC97
Screen size: 34-inch | Aspect ratio: 21:9 | Resolution: 3440x1440 | Brightness: 300 cd/m2 | Response time: 5ms | Viewing angle: 178/178 | Contrast ratio: 1M:1 (DFC) | Colour support: SRGB 99% | Weight: 19.8 pounds
2. Acer S277HK
Screen...
Saturday, 17 October 2015
LEO KATIKA TEKNOLOJIA ZIFAHAMU APPS ZILIZOINGIA KATIKA APPSAFRICAN INNOVATION AWARDS 2015

1. Best disruptive innovation
MicroEnsure (UK), Esoko (Ghana), Talking Bookz (Nigeria), Picup – South Africa, Opera’s Sponsored Web Pass – Nigeria
2. Best mobile innovation
Mobu – (Kenya), Chura – (Kenya), bookly – (South Africa), Ninayo...